MAISHA BAADA YA CHUO
Kitabu hiki ni uhalisia na utafiti uliofanywa na mwandishi wa kitabu hiki. Ni hadithi inayoangazia maisha ya wasomi wengi katika Nchi zinazounda Umoja wa Afrika ya Mashariki pindi wanapohitimu masomo yao katika ngazi mbalimbali na namna wanavyokutana na changamoto ya ajira mitaani.\r\nHadithi hii inatoa suluhisho kwenye changamoto hizo kwa wasomi wa vyuo na vyuo vikuu. Fuatilia hadithi hii iliyo andikwa na mwandishi msomi na mhamasishaji.
Tatizo la Ajira nikubwa na litaendelea kuwa kubwa Duniani na tatizo la Ajira limeanzia katika fikra za wasomi wenyewe utakapo soma kitabu hiki utapata maarifa mengi yakuweza kuondokana na kukosa kazi.
utagundua hutakiwi kulalamika wala kulaumu Serikali bali unatakiwa kuchukua maamuzi ya kufikiri tunufu nje ya Box hadihti hii ni utafiti ambao umefanyika miaka 4 na mwandishi wa kitabu hiki fuatilia na ujifunze nakupata maarifa.