MAHUSIANO BORA; CHANZO CHA NDOA BORA
Kitabu hiki ni nyenzo moja muhimu sana na kiongozi bora sana katika Mahusiano yoyote yenye lengo la Kufikia ndoa. Changamoto nyingi za mahusiano, zimetolewa ufumbuzi kupitia hiki kitabu. rnFahamu njia bora na sahihi ya kuanzisha mahusiano, tena Mahusiano Bora yatakayokupa ndoa bora, yenye amani na furaha. Lakini pia utafahamu kuhusiana na rnNJIA SAHIHI ZA KUMPATA MWENZI WAKO HALISI, WA KWELI, BILA KUBAHATISHA, MAHUSIANO HOLELA NA MADHARA YAKE,rnMAMBO YA KUZINGATIA NA KUEPUKA WAKATI WA UCHUMBArnUHUSIANO ULIPO KATI YA KUSUDI LA MUNGU NA MPANGO WA NDOA
Kitabu hiki ni nyenzo moja muhimu sana na kiongozi bora sana katika Mahusiano yoyote yenye lengo la Kufikia ndoa Takatifu. Changamoto nyingi za mahusiano, zimetolewa ufumbuzi kupitia hiki kitabu.
Fahamu njia bora na sahihi ya kuanzisha mahusiano, tena Mahusiano Bora yatakayokupa ndoa bora, yenye amani na furaha. Lakini pia utafahamu kuhusiana na
NJIA SAHIHI ZA KUMPATA MWENZI WAKO HALISI, WA KWELI, BILA KUBAHATISHA, MAHUSIANO HOLELA NA MADHARA YAKE,
MAMBO YA KUZINGATIA NA KUEPUKA WAKATI WA UCHUMBA,
MWANAMKE ANAYEWEZA KUWA MKE,
UHUSIANO ULIPO KATI YA KUSUDI LA MUNGU NA MPANGO WA NDOA.