Mafuta Ya Upako
Na Siri iliyoko Katika Nguo, Vitambaa, Leso, Chumvi Na Maji ya Upako.
MAFUTA YA UPAKO ; Na Siri iliyoko Katika Nguo, Vitambaa, Leso, Chumvi Na Maji ya Upako.
Matumizi ya Mafuta ya Upako , na vifaa vya kiroho, ni moja kati ya mambo ambayo yamesahaulika katika ukristo wa leo , na hii yote nikwasababu tu ya mafundisho kupungua, na Kufuata mapokeo ya watu, Marko 7: 8 Ninyi mwaiacha amri ya Mungu, na kuyashika mapokeo ya wanadamu.
Watu wengi anaenda na mafundisho ya Askofu flani alisema, pasipokuwa na Msingi wa neno la Mungu, Kumbuka Mungu ameikuza ahadi yake kulio jina lake Zaburi 138 : 2 ……kwa maana umeikuza ahadi yako, kulikojina lako lote. Zaburi 119 : 91 Kwa hukumu zako vimesimama imara hata leo, Maana vitu vyote ni watumishi wako.
Nabii pd Yohana ambaye ni mwandishi wa vitabu vingi vya kiroho kwa mafunuo mengi, na Mwanzirishi wa Huduma ya Healing and life Ministry, Ameandika kitabu hiki cha namna vitu vinatumika kama visaidizi katika kutenda kazi ya Mungu kama kuponya magonjwa na kufungua watu na kuweka wakfu.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza