MAENEO 12 YANAYOGUSA MFUMO WAKO WA MAISHA YA KILA SIKU
Price:
8,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Feb 08, 2024
Product Views:
475
Sample
MAENEO 12 YANAYOGUSA MFUMO WAKO WA MAISHA YA KILA SIKU
Ndani ya Moyo wangu Mungu amekusudia niweze kukuwekea Maarifa haya ya Neno lake kuhusu maeneo mbalimbali yanayogusa mfumo wa maisha ya mwanadamu hapa duniani ya kila siku. Maisha ya mwanadamu yamejengwa katika mfumo wa maisha tokea kuzaliwa kwake hadi kufa kwake na ndani ya mfumo wa maisha kuna kusoma shule, kuoa & kuolewa, kufanyakazi, kuwa na furaha au kukosa furaha, kulia na kucheka n.k hivyo nataka nikuonyeshe maeneo ambayo yanagusa mfumo wako wa maisha ya kila siku.