Machache Kutoka Kitabu Cha Yuda -sehemu Ya 1
Kitabu hiki kidogo (e-book) kitakusaidia katika ufahamu wako kuhusu maandiko hasa kukielewa kitabu cha Yuda (waraka wa Yuda). Kitakusaidia namna ya kufanya uchambuzi wa maandiko kwa muktadha wa Agano Jipya, mtindo ambao Yesu baada ya kufufuka aliwafundisha mitume wake (Yuda akiwemo). Hivyo itakuweka wazi katika elimu ya Kristo.
Machache kutoka kitabu cha Yuda.
Kijitabu hiki cha kielectronic (e-book) kimelenga kukupatia ufahamu wa Kristo kwa kutumia waraka wa Yuda. Waraka wa Yuda kina sura 1 na mistari 25, na kijitabu hiki kina kurasa 100+ kwaajili ya kukusaidia kukielewa kitabu cha Yuda kwa urahisi na kuondoa kila aina ya maswali.
Kijitabu hiki kimejibu maswali kuhusu tabia ya Mungu hasa katika vitabu vya agano la kale ambapo Mungu ameonekana ni muuaji na mwenye kuharibu wakosaji, napa imejadiliwa kwa uchache ambapo muendelezo wake utapatikana katika sehemu ya pili ya kitabu hiki (nashauri ukipate kikitoka).
Nina furaha kubwa kushiriki nawe baraka hizi.
I remain multidimensionally yours.
Frederick Exaud Kileo
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza