
MAARIFA YA MUNGU YA KUKUTOA KWENYE MAJARIBU UNAYOPITIA KIMAISHA
Ni mapenzi ya Mungu akutoe na kukuvusha katika hayo majaribu unayopitia kimaisha au mnayopitia katika familia pale utakapokuwa na Maarifa ya Neno la Mungu kujua namna ya kuomba mbele zake kila siku.
Kila mwanadamu kwenye maisha yake anapitia majaribu ya aina tofauti tofauti na Mungu ameshasema kila jaribu lina mlango wa kutokea pale mwanadamu anapojua kuomba sawasawa na Mapenzi ya Mungu
Kitabu hiki kitayafungua macho yako ya Ndani na kukupatia Maarifa mengi kuhusiana na majaribu kwasababu utajifunza namna Mungu anavyomtoa mwanadamu kwenye majaribu kwa kanuni zake pia utaelewa shetani anapokupitisha kwenye majaribu anawinda nini? Na tena nimeweka kanuni 7 za maombi ambayo unatakiwa kuyaomba mbele za Mungu na nimefundisha sababu za Mungu kutokuacha ukae kwenye hayo majaribu
Hakika ni kitabu unachotakiwa ukisoma na kukifanyia kazi karibu Sana.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza