MAAMUZI YENYE UFANISI
Price:
2,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Nov 06, 2020
Product Views:
4,570
Sample
Unaweza kufanya maamuzi sahihi kwa kujua mambo sahihi yatakayokusaidia katika maamuzi. Yamkini unapitia changamoto katika kufanya maamuzi, kitabu hiki kitakusaidia kufanya maamuzi sahihi.
Hiki ni kitabu kitakachobadili Fikra na mtazamo wako, na kukupa fursa ya kutambua nyenzo muhimu kwa ajili ya kukusaidia kufanya maamuzi sahihi.
Maamuzi sahihi ndiyo yatakayokusaidia katika kutafuta maendeleo. Kimsingi hauwezi kuendelea kama usipofanya maamuzi sahihi leo.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza