MAAMUZI MAKUBWA MATATU KATIKA MAISHA YAKO
Kwa miaka kadhaa nimekuwa nikifuatilia maisha ya watu mbalimbali wakiwemo wazazi wangu, mwisho nikagundua kuna maamuzi makubwa matatu katika maisha ya kila mwanadamu ambayo ndiyo yanayoamua hatima yake.rnrnUkifanya kosa katika kufanya moja ya maamuzi haya unaweza kujikuta umevuruga kabisa maisha yako ,hata yale maamuzi mengine uliyofanya vizuri yakaonekana hayana maana.rnrnWapo watu wanaiona dunia kama jehanamu wa sababu ya makosa waliyofanya katika kufanya maamuzi haya, wakati wengine wanafurahia maisha yao kwa sababu walifanya maamuzi haya kwa usahihi.rnrnJe ni maamuzi hayo matatu ni yapi?rnrnJipatie nakala yako ili uweze kujua maamuzi hayo ni yapi na kujifunza kwa undani juu ya maamuzi hayo ili usirudie makosa waliyofanya wengine
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza