Maamuzi Magumu
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Aug 12, 2020
Product Views:
5,799
Sample
Maamuzi Magumu Ni mlango Wa Kutokea
Hakuna wakati uliosahihi ambao utasema ukifika nitafanya Uamuzi juu ya Jambo fulani, kama unafikiri wakati huo upo utasubiri maisha yako yote. Uamuzi sio sherehe za kuagana kwamba ukuarike tuonane siku fulani ~ Mnasihi David