Maajabu Ya Whatsapp Business
Soma Zaidi Hapa Chini
Kitabu Cha Maajabu ya Whatsapp Business, Kama Lilivyo Jina *“Maajabu”* Yaani Kitu Ambacho Sio Cha Kawaida, Nakuhakikishia Kitaenda Kuleta Maajabu Kwenye Biashara yako.
.
Vitu Utakavyojifunza na Kufaidika ni Pamoja na… *NGOJA KWANZA*,,,hiki Kitabu Kimebeba Siri Nyingi Sana, Sasa Naomba Tukubaliane Kwanza ya Kuwa Hautazivujisha Kwa mtu yeyote kivyovyote vile…
.
Kama umekubali basi.. fatisha haya maneno na utaje jina lako…
.
*“Mimi………………. Naahidi Nikiwa na Akili Zangu timamu kabisa, bila kushawishiwa na mtu yeyote, ya kuwa sitojaribu wala kufikiria tu kuvujisha hizi siri nzito nitakazojifunza humu, naahidi kuwa nitazitumia pekee yangu tu” *
.
Haya tuendelee sasa….
.
1.Hii ndio siri iliyo jificha kwenye muda sahihi wa kupost Whatsapp, tofauti na ulivozoea - Uk 18
.
2. Hizi ndio siri 10 zilizojificha za kujenga brand/jina la biashara kwenye Whatsapp Business na zinatumiwa na watu wachache sana duniani - Uk 27
.
3.Hizi ndio mbinu 20 Za kumlazimisha mteja kununua bidhaa au huduma yako siku hiyo hiyo Kivyovyote vile - Uk 81
.
4.Ili Uuze Zaidi Hizi ndio biashara unatakiwa kuzifanya kwenye Whatsapp, achana na unazozijua wewe utapata hasara mpaka basi na utaona dunia chungu - Uk 13
.
5.Hautakaa Uaminike kamwe kwa wateja kwenye Whatsapp endapo hautosoma hizi mbinu 18 zilizothibitishwa - Uk 31
.
6.Fanya Hivi ili Umiliki Biashara/Duka Linalotembea hata kama hauna ofisi utauza popote hata kama ni saa 8 za usiku - Uk 21
.
7. Hizi ndizo Siri 25 Zenye Thamani Zaidi za kuuza zaidi kwenye Whatsapp Status, lakini Nakuomba Sana Sana tena sana, Usijaribu hata Siku moja kumwambia mtu yeyote yule hata akupe milioni 10, Zitumie pekee yako tu - 133
.
8.Iba hizi mbinu za siri za kumteka na kumuuzia mteja moja kwa moja hata kama hataki - Uk 103
.
9.Ukweli ambao hautaambiwa na mtu yeyote duniani kuhusu kuuza zaidi kwenye magroup ya Whatsapp, utanipa mrejesho wako - Uk 58 na 68
.
10.Hii ndio fomula ya siri ya kuandika matangazo yenye kuuza zaidi kwenye Whatsapp - Uk 87
.
11.Elezea Hivi Bidhaa au Huduma yako kwa Wateja na Sio Vile Ulivozoea Kama Hutabadilika eh Utafukuza Wateja - Uk 53
.
12.Haya Ndiyo Makosa 10 yanayowafelisha na kuwakosesha mauzo wafanyabishara wengi sana kwenye Whatsapp, kaa mbali nayo mita Milioni Moja - Uk 129
.
13.Iba hizi mbinu za kivita za kumfanya mteja anunue hata kama hataki kabisa - Uk 120
.
14.Haya Ndio Makosa Makubwa Zaidi yanaweza kupelekea namba yako ya biashara ya Whatsapp kufungiwa milele, iba na hizi mbinu za kujinasua ukifungiwa - Uk 155
.
15.Tumia pekee yako tu, hizi mbinu zilizothibitishwa za kupata Zaidi ya Status Views 1000 Kila Siku - Uk 122
.
16.Hivi ndivyo wenzio hufanya matangazo ya kulipia kupita Whatsapp Business ndani ya sekunde 30 tu - Uk 153
.
17.Hii ndio mbinu kuu inayoshawishi watu kununua bidhaa au huduma kivyovyote kuliko hata mbinu zozote duniani kote - Uk 94
.
17.Najua una hamu Sana na Mimi Staki kukuchosha sana maana kuna siri zingine nyingi tu Utazikuta humo..
.
Thamani ya hiki kitabu (soft copy tu) ni Tshs.99,590 ndio ni Elfu Tisini na Tisa Mia Tano na Tisini. Lakini Usihofu najua hata ningekiuza kwa bei hiyo bado kingeuzika sana kutokana na thamani yake.
.
Lakini kwa kuwa ndio kinazinduliwa rasmi, hivyo nimepunguza kutoka.TSh.99,590 hadi Tsh.57,000 tu kama ofa ya kipekee ambapo watu bado wangekinunua tu hata kwa bei ile ya mwanzo…..
.
*NINEKUMBUKA KITU…*
.
Kwa kuwa lengo langu ni kumfanya hadi mjasiriamali wa hali ya chini kabisa aweze kukuza biashara yake kirahisi hivyo nimeamua kupunguza kabisa hadi Tsh.23,500 tu.
.
LAKINI Bila KUKUSAHAU Wewe TU….
.
Kwa Kuwa wewe umefanikiwa kuupata huu ujumbe nimeona nikupe kama zawadi ya kipekee kwako tu, hivyo badala ya kulipia Tsh.99,590 au Tsh.57,000 au Tsh. 23,500 , utachangia kiasi kiduchu tu cha Tsh. 6,500 tu (ndio elfu sita mia tano tu).
.
Kumbuka hii ni zawadi ya kwako tu ambayo itadumu kwa saa 24 tu baada ya hapo, usinitumie tena mchango wako kwasababu kitabu kitarudi kwenye bei yake ya ofa ya Sh.23,500 na Baadae Kurudi Kwenye Tsh. 57,000.
.
Bonyeza Hapa Chini Kupata Zawadi yako.
.
NA..
.
*Kama utakisoma kitabu chote na ukashindwa kupata matokeo mazuri, ntakurudishia pesa yako na ya usumbufu na sitakuuliza chochote na kitabu utabaki nacho MILELE..* naomba uitikie Amina.
.
PIA…
Kwa kuwa umechangia hiki kitabu, utapata bonas ya kitabu cha jinsi ya Kupanga na Kutimiza Malengo Yako na Cha Kipaji Chako Ajira Yako vyenye thamani ya shilingi Elfu 25,000, vyote nakupa BUREE KABISA.
.
Tembelea Pia Kurasa Zangu Za Mitandao ya kijamii kama Facebook Instagram TikTok na Twitter X, pia LinkedIn kwa jina la Sanga Business. Asante.
.
JINSI YA KUPATA KITABU HIKI
1. Bofya kitufe cha *BuyNow*
2. Jaza Jina lako lote (Majina Mawili)
3. Jaza Email Address Yako
4. Chagua mtandao utakao tumia kulipia
5. Jaza number ya simu ya huo mtandao wako ulio chagua
6. Bofya kitufe cha *Complete Order* halafu subiri kidogo
7. Weka password yako ya malipo
8. Bofya Okay
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza