MAAJABU YA KUWEKEZA KWENYE HISA, HATIFUNGANI NA VIPANDE
Kitabu hiki kimeeleza vitu vigumu ambavyo watu wengi wanashindwa kung’amua kwa lugha rahisi ambayo kila mtu anaweza kuilewa. Na lengo lake kubwa ni kukukuwezesha wewe uweze kukisoma, kukielewa na kuchukua hatua kwa kuanza kuwekeza kwenye soko la hisa.
Hivi umewahi kuona\r\nwazungu wanavyokuja hapa nchini na kuzunguka huku na kule. Na hata kutembelea\r\nvivutio ambavyo vipo karibu yako wakati wewe ukiwa hujawahi kuvitembelea. Huwa\r\nwanawezaje kukaa hapa nchini kwa mwezi au zaidi? Je, huwa hawana kazi huko kwao?
Moja ya kitu ambacho\r\nhuwa wanahakikisha wanakuwanacho ni fedha\r\ninayowafanyia kazi. Ubora siyo tu kwamba wao peke yao ndio wenye uwezo wa\r\nkuifanya fedha iwafanyie kazi, bali na wewe unaweza pia. Na njia nzuri kabisa\r\nambayo wewe unaweza kuanza kuitumia ili kuifanya fedha ikufanyie kazi ni kwa\r\nkuwekeza kwenye hisa.
\r\n\r\n\r\n\r\n
Kwenye kitabu hiki hapa\r\ntunaenda kujifunza kila kitu ambacho unahitaji kujua kuhusu hisa na jinsi\r\nambavyo unaweza kutengeneza uhuru wa kifedha au utajiri kupitia hisa,\r\nhatifungani na vipande.