MAADILI YA KIKRISTO
Katika kitabu hiki tumejadili mada mbalimbali katika sura tofautitofauti ambazo ni muhimu kwa kanisa kuziangalia kwa ukaribu. Baadhi ya mada hizo ni pamoja na vita na amani, uchumi, rushwa, maadili kuhusu fedha, uongo na ukweli, ngono, uzazi, ndoa za mitala, talaka, ndoa za jinsi moja, ponografia, Mkristo na matumizi ya vileo, uthanasia, kujiua, utoaji wa mimba, uzee na kifo, na mwisho ni Mkristo na utunzaji wa mazingira. \r\nRev. Dr. Daniel John Seni (0769080629)
Katika kitabu hiki nimejadili mada mbalimbali katika sura tofautitofauti\r\nambazo ni muhimu kwa kanisa\r\nkuziangalia kwa ukaribu. Baadhi ya mada hizo ni pamoja na vita na amani, uchumi,\r\nrushwa, maadili kuhusu fedha, uongo na ukweli, ngono, uzazi, ndoa za mitala, talaka,\r\nndoa za jinsi moja, ponografia, Mkristo na matumizi ya vileo, uthanasia, kujiua,\r\nutoaji wa mimba, uzee na kifo, na mwisho ni Mkristo na utunzaji wa mazingira.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza