Lishe Sahihi
Chakula, Lishe Na Muongozo Sahihi Wa Ulaji Kwaajili Ya Kupona Magonjwa, Kuboresha Na Kutunza Afya Yako Pamoja Na Familia Yako.
Je, kuna ugonjwa unakusumbua na unatamani upone haraka?
Je, unasumbuka kujua chakula na lishe sahihi kwa afya yako?
Je, unahangaika kutunza afya yako?
Je, kuna mtu wako wa karibu unatamani umsaidie apone na awe na afya?
Usiteseke tena, hapa utapata jibu.
Kama unataka kuwa na afya, au kupona ugonjwa usioambukiza unaokusumbua na uepuke madawa,
Basi tambua kwamba...
... kunywa maji mengi, mazoezi na kula matunda tu haitoshi. Sio jawabu kamili la kupona na kupata afya.
Hivyo vitu vitakusaidia kupata nafuu lakini hutofika malengo ya juu zaidi ya kiafya kama hupati lishe sahihi.
Hivyobasi, unapaswa kupata lishe sahihi kwaajili yako, na ndani ya kitabu hichi utajifunza chakula sahihi cha kukusaidia kupona magonjwa yanayokusumbua na kukupa afya.
Baadhi ya faida utakazopata ni pamoja na;
- Utasahau maumivu yaliyokuwa yanakusumbua muda mrefu kutokana na magonjwa yasiyoambukizwa.
Magonjwa kama kisukari, moyo, maimuvu katika mmeng’enyo wa chakula, magonjwa ya ngozi, nguvu za kiume, matatizo ya uzazi, kutoshika mimba, n.k..
- Utapungua unene, uzito mkubwa, na utarudisha mwili unaotaka kuwa nao, mpaka wanaokuzunguka watashangaa umewezaje, kumbe siri unayo.
- Itakusaidia kuondoa kiungulia, tumbo kujaa gesi, tumbo kuunguruma, kucheua cheua, na kujamba jamba, hivyo utakuwa na amani baada ya msosi wako.
- Utafurahia jinsi uso wako utakavyorudisha na kujawa na tabasamu la furaha kwasababu huna maumivu tena ya viungo yaliyokusumbua muda mrefu.
- Ngozi yako itanawiri, na hutopoteza hela nyingi kwenye kutunza afya ya ngozi kama zamani, kwasababu lishe itakusaidia kuondoa vipele, m’ba, chunusi, harara na miwasho, watu wako wa karibu watataka kujua siri unayotumia kupendeza.
- Kupata focus nzuri kwenye kazi yako, hivyo, utaondoa ule uchovu unaokusumbua mara kwa mara. Hivyo utakuwa na motisha zaidi.
Pia itakusaidia kuondoa usingizi wa mchana. Wenzako watashangaa kwanini huchoki na unapiga kazi vizuri.
- Itakusaidia kupunguza na kuondoa maumivu ya meno. Hivyo, utalala usiku kwaamini bila kuhofia utaamshwa na maumivu ya meno.
- Itakusaidia kuimarisha kinga yako ya mwili, hivyo hautashambuliwa na magonjwa kirahisi.
- Kama huwa unasumbuka kupata usingizi au kulala vizuri, basi hii lishe itakusaidia ulale vizuri na uamke kirahisi.
Na faida nyingine nyingi ambazo wewe mwenyewe utazishuhudia.
Unaweza usiamini kwasababu umejaribu vitu vingi, lakini nikutoe wasiwasi kwasababu ulaji huu umethibitishwa kisayansi.
Na ndiyo lishe iliyofanyiwa tafiti nyingi kuliko aina zote za lishe, na kuliko hata vegetarian diet.
Hivyobasi, chukua hichi kitabu na uanze kujaribu siku 90 zijazo na uone tofauti.
Ulishajaribu vitu vingine, usiogope kujaribu na hii. Kisha utaamua uendelee nayo au uache.
NB: Kama ni mnene, piga picha yako ya sasa na ulinganishe na miezi mitatu ijayo uone jinsi ulivyopungua.
Disclaimer
Kama upo kwenye dozi, shirikiana na daktari wako ili kuona njia sahihi ya wewe kuendelea au kupunguza dawa.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza