.png)
LESSON 2: PLANNING : KUPANGA MIPANGO YA KUFANYA BAADAE
HUU NI MFULULIZO WA MASOMO 60 YA KUJIFUNZA KIINGEREZA CHA KUZUNGUMZA.
Mfululizo huu wa masomo una jumla ya masomo 60 ambayo hayajapangwa kwa mlolongo au kwa kufuatana. Kwa hiyo, sio lazima uanze na somo la 1 hadi 60. Unaweza kuanza somo lolote. Masomo haya yamepangwa kwa kuzingatia 'topic' (mada) husika, na unaweza ukaanza kusoma somo lolote na ukajifunza vizuri sana na kwa mapana kuhusu topic' (mada) yenyewe. Endelea kufuatilia masomo yetu yote 60 ili ujifunze kwa ufasaha KIINGEREZA CHA KUZUNGUMZA.
Kujua zaidi undani kuhusu mfululizo wa masomo haya au ukitaka kujifunza masomo yote kwa pamoja, tembelea KOSEC.
Au
Wasiliana nasi:
WhatsApp: +255622 009 566
Email: kacheleonline@gmail.com
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Manny Kachele
Sold by: Manny Kachele
Sold by: Manny Kachele