LAZIMA NIFANIKIWE
STORI ZA KWELI ZINAZOHAMASISHA NA KUELIMISHA
KITABU HIKI CHENYE STORI ZA KUKUBADILISHA NA KUKUFANYA UWE MPYA. KITABU HIKI KINA SEHEMU MBILI.
SEHEMU YA KWANZA IMEANDIKWA NA MWANDISHI WA STORI ZA FILAMU NA TAMTHILIA BWANA BT SHUNG THONG XHI. NI STORI ZITAKAZOKUELIMISHA NA KUKUONYESHA KUWA MAFANIKIO YANABEBA KUDHAMIRIA, KUSTAHIMILI NA KUJITOA.
SEHEMU YA PILI IMEANDIKWA NA KIJANA WA MIAKA SITINI NA TATU. STORI ZAKE ZIMEBEBA MAISHA YAKE HALISI TOKA AKIWA KIJANA HADI LEO.
STORI YA KUSISIMUA ZAIDI NI YA KUFANYA KAZI KATIKA KAMPUNI YA CHUO CHA GONGA KWA NGUVU. AMBAMO ALIFANYA KWA MIAKA KUMI NA TATU.
HIVYO STORI ZA KITABU HIKI NI TOFAUTI NA STORI NYINGINE AMBAZO NI KUCHEKESHA TU BILA KUCHUKUWA CHOCHOTE ULICHOJIFUNZA, NI KITABU KINACHOGUSA MAMBO HALISI YA MAISHA YETU.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza