LAANA INAYOWASUMBUA VIJANA
Laana Inayowasumbua Vijana
Vijana wengi wamekwama, wamepoteza muelekeo na hawana wanakoenda katika maisha yao ya baadae, haya ni matokeo ya laana nzito inayowatesa vijana wengi katika karne hii ya leo. Kumekuwa na matukio mengi mabaya yanayowahusu vijana ikiwa ni pamoja na unyang’anyi, ubakaji, ukahaba, uvutaji wa madawa ya kulevya, uhuni na mambo yanayofanana na hayo kama matokeo ya laana inayowasumbua vijana. Katika kitabu hiki nimeielezea laana hiyo ambayo ni tishio katika maisha ya watu wengi hasa vijana, na kutoa ushauri wa nini kifanyike ili maisha ya vijana wengi yawe salama. Kitabu hiki nimekiombea ili kifanyike Baraka maishani mwako, kijibu maswali mengi ya vijana yanayohusu maisha yao kama vijana, na kilete uamsho kwenye kanisa la Mungu kwa kiwango cha kuwafanya vijana wakristo kuwa mfano wa kuigwa katika jamii zao!
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza