KWENYE ULIMWENGU WA ROHO MIMI SIO MTU WA KAWAIDA KABISA
KWENYE ULIMWENGU WA ROHOrnMIMI SIO MTU WA KAWAIDA KABISA
Watu wengi hujiona wa kawaida kwenye maisha yao na haya ni makosa makubwa sana wanayoyafanya kutokana na uumbaji wa Mungu maishani mwako wewe sio mtu wa kawaida kabisa kwenye ulimwengu wa roho na hata kwenye ulimwengu wa mwili ila kwa sababu hujitambui ndio unajiona wewe wa kawaida na kujidharau na kujiona hufai kabisa. Mungu Baba amenipatia Neema yake ndani ya Yesu Kristo kukuletea maarifa haya ya Neno lake ndani ya kitabu hiki ambacho kitaenda kuyageuza na kuyabadilisha kabisa maisha yako na utaishi kama mtu asiye wa kawaida kabisa hapa ulimwenguni kwa sababu huo ndio uhalisia wako. Kumbuka kuwa kuna aina mbili za ulimwengu yaani ulimwengu wa roho na ulimwengu wa Kimwili na matokeo yoyote ya maisha yako katika ulimwengu huu wa mwili yameanzia katika ulimwengu wa roho, vile unavyojiona kwenye ulimwengu wa roho ndio utakavyoonekana katika ulimwengu wa mwili na vile unavyotambulika kwenye ulimwengu wa roho ndivyo utakavyotambulika na katika ulimwengu huu wa mwili pia.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza