Kwanini Walokole Wengi Ni Masikini
KWANINI WALOKOLE WENGI NI MASKINI KATIKA ENENO LA KIUCHUMI LICHA YA BARAKA ZA MUNGU KUWA JUU YETU
KALAMU YA MWANDISHI.
Lengo kuu ua mwandishi ni kukumegea na kugusia mambo machache na muhimu ya kiuchumi katika mtaoamo wa Kibibuia na katika ahadi oa Mfungu oenye Baraka. Nimekuchanganyia na Euimu ya kiuchumi kwa kukumegea machache ya muhimu katika kuhakikisha unaeuekea katika mauanikio yako ya utajiri wenye mauanikio na unaompendeoa M fungu auiye Umba Mfbingu na nchi. M fauanikio ni kitu muhimu sana katika maisha yako ya hapa Duniani na Mfbinguni. Hakikisha unaweka juhudi katika kujiimarisha Kiroho na Kiuchumi.
Nikutakie usomaji na mabadiuiko mema.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza