KWANINI NAJUTA!!
Kitabu cha “kwanini najuta” ni kitabu ambacho kina hadithi fupi fupi ambazo zinazungumzia masuala mbalimbali ya ukatili, unyanyasaji, dhuluma, uzalilishaji unaojitokeza katika maisha ya watu wazima, watoto na wanawake. Pia kitabu hiki kinatoa burudani na kukuza stadi za lugha ya Kiswahili kwa wasomaji wapya na wenyeji wa lugha hii. \\\\r\\\\nHadithi hizi zaweza kuwa na vionjo vya ukweli pia vionjo vya kutunga ili mradi tu ujumbe uliokusudiwa ufike kwa msomaji ili uweze kutoa mchango katika jamii na mwisho kujenga vizazi vyenye hofu ya kufanya ukatili, unyanyasaji,dhuluma,uzalilishaji miongoni mwa makundi ya watoto,wanawake,wanaume na wengine wenye nia mbaya.
Kitabu\\\\r\\\\ncha “kwanini najuta” ni kitabu ambacho kina hadithi fupi fupi ambazo\\\\r\\\\nzinazungumzia masuala mbalimbali ya ukatili, unyanyasaji, dhuluma, uzalilishaji\\\\r\\\\nunaojitokeza katika maisha ya watu wazima, watoto na wanawake. Pia kitabu hiki\\\\r\\\\nkinatoa burudani na kukuza stadi za lugha ya Kiswahili kwa wasomaji wapya na\\\\r\\\\nwenyeji wa lugha hii.
\\\\r\\\\n\\\\r\\\\n
Hadithi\\\\r\\\\nhizi zaweza kuwa na vionjo vya ukweli pia vionjo vya kutunga ili mradi tu\\\\r\\\\nujumbe uliokusudiwa ufike kwa msomaji ili uweze kutoa mchango katika jamii na mwisho kujenga vizazi vyenye hofu ya\\\\r\\\\nkufanya ukatili, unyanyasaji,dhuluma,uzalilishaji miongoni mwa makundi ya\\\\r\\\\nwatoto,wanawake,wanaume na wengine wenye nia mbaya.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza