Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Kwanini Hauanzi - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

KWANINI HAUANZI?

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jul 31, 2022
Product Views:
1,630
In category:
Sample

Kitabu kinafundisha maisha hasa katika namna ya kuanza kudaka fursa, kuanza kufanyia kazi ndoto zako bila kuacha Wala kukata tamaa hata Kama utakutana na changamoto nyingi kiasi gani. Kitabu kinagusa pia uwekaji wa akiba na sehemu nzuri na zenye rutuba katika kuwekeza fedha zako ulizoziweka akiba kwa muda mrefu.\\\\r\\\\n\\\\r\\\\nKaribu Sana!

Miaka 537 iliyopita mtu mmoja maarufu Sana aliyekuwa mtaalamu wa kuchonga sanamu na kuchora michoro alipewa kazi ya kuchonga sanamu ya Mariamu na Mwanawe.


Alipoulizwa itachukua muda gani kukamilika, yeye alisema itachukua miezi Saba tu kukamilika , Cha ajabu kazi Ile ilimchukua miaka 25 kuweza kukamilika, 


Sio kwamba alikuwa Hana muda Wala rasilimali za kuanza kuchonga sanamu Ile Bali alijisubirisha Sana.


Na ukichunguza zaidi yule jamaa amekufa na kuacha kazi nyingi Sana alizopewa ambazo hazijakamilika, alikuwa Ni mtu mwenye kujisubirisha Sana na kusubiri muda wake tulivu.


Takwimu zinamtaja Kama mmoja wa watu wenye tatizo la kutokuanza mapema kwa kujiaminisha kwamba muda bado anao.


Mwaka 2021 serikali ilitoa ofa ya kuweka umeme kwenye nyumba za wananchi kwa  Bei ya shilingi elfu ishirini na Saba ( 27000/=). Mapema January 2022 serikali ilisitisha ofa hiyo kwa maeneo ya mijini na Kuna watu wengi Sana waliojisubirisha wakidhani ofa hii itaendelea kuwepo matokeo yake baada ya mabadiliko wakabaki kujilaumu Sana kwamba kwanini hawakuanza.


Mwaka ulipoanza ulijipanga kwa kupanga malengo yako makini Sana  ya kuyatimiza mwaka huu Lakini Cha ajabu utakuta Hadi Sasa hivi haujaanza kufanya chochote juu ya malengo yako kwa kujiaminisha muda bado unao.


Kuna watu wengi Sana wameshindwa kupata matokeo makubwa kutokana na kile wanachokifanya kwa kujisubirisha Sana, badala ya kuanza Mara moja wao wanasubiri kuamka katika dakika za mwisho.


Kila siku unajipangia ratiba na kuivunja wewe mwenyewe,

Hilo Ni tatizo ,usifikiri Ni kawaida,


Nimekuandalia kitabu Bora Sana na naamini utakipenda, kitabu kinaitwa *KWANINI HAUANZI*  Ndani yake utakutana na mbinu nyingi Sana za kukusaidia kuanza Mara moja fursa zinapojitokeza,


Kitabu kitakuwa kinapatikana maeneo mengi Sana kwa soft copy Ni hapahapa getvalue  na  hard copy (nakala ngumu) Kupitia mawakala Tanzania nzima.

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold