Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Kutoka Kuandika Mpaka Kuuza Kitabu - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

KUTOKA KUANDIKA MPAKA KUUZA KITABU

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
9,999 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Apr 15, 2023
Product Views:
844
In category:
Sample

Ilikuwa ni kiu yangu ya muda mrefu kuandika kitabu kimoja ambacho mtu akikisoma atakuwa amepata vitu muhimu sana na vya msingi kwenye uandishi wa vitabu kuanzia hatua ya kuandika mpaka kuuza kitabu.

Kwenye kitabu hiki nimeshughulika na mambo matatu;

  1. Ufahamu wa mbinu za kukusaidia kuandika, kutoa na kuuza kitabu chako. Uandikaje kitabu? Mchakato wa kutoa kitabu ukoje? Kitabu kinafikaje kwa wasomaji na unakiuzaje?. Unapokisoma kitabu hiki, utapata utajiri wa mbinu za kukusaidia kwenye maeneo yote haya
  2. Ufahamu wa makosa ya kuepuka. Huwezi kuepuka kosa usilolijua, hivyo nimeanza kwa kukuonesha makosa yenyewe ili uweze kuyaepuka.Kuyaepuka makosa haya itakusaidia kuufurahia uandishi wa vitabu kwa kuyachuma mafanikio yake.
  3. Kutatua makosa ambayo waandishi huwa wanakwama kupata utatuzi wake. Makosa haya hujitokeza kuanzia hatua ya kuandika mpaka kuuza kitabu. Kusoma kitabu hiki kutakupa kujua jinsi ya kutatua makosa hayo.

Huishii tu kusoma kitabu. Upo huru kabisa kupata usaidizi kutoka kwangu, unapoendelea kusoma kitabu na ukaona kukwama kwenye jambo fulani, wewe nitumie meseji au nipigie, tutazungumza!

Upo tayari kuanza safari nzito ya kusoma sura sita zilizoshiba? Haya anza!

More Products On Discount
More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold
4,000 Tsh.

Sold by: Said Maumba

10,000 Tsh.

Sold by: Jacob Mushi

10,000 Tsh.

Sold by: TINY BROWN