Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Kutambua Vita Uliyonayo Rohoni Na Mbinu Za Kupambana - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

Kutambua Vita Uliyonayo Rohoni Na Mbinu Za Kupambana

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Dec 16, 2024
Product Views:
254
In category:
Sample

Kuwa mkristo asiye onewa wala kusumbuliwa na ufalme wa nguvu za giza.

Ni kitabu kitakacho kufundisha  ni nini ishara ya za Vita ambazo ukiziona au kuzisikia ni ishara ya moja kwa moja ya vita inanayoletwa na ufalme wa nguvu za giza.

Utajifunza mbinu mbalimbali za kupigana vita za kiroho, ambazo zimesababishwa Na ufalme wa shetani na zile ambazo ulizisababisha mwenyewe.

Utajifunza mbinu mbalimbali ambazo shetani na watenda kazi wake huwa wanazitumia ili kuhakikisha wanakupiga vita kimwili na kiroho kwa wakati mmoja, na namna ya kushughulika nao inapofika wakati kama huo.

Unapokuwa kwenye ufalme wa Mungu, wewe si mtu wa kawaida kiasi kwamba shetani hafai kuwa anakusumbua kilasiku, Ila pale unapojitambua mapema utaona kabisa shetani anakaa mbali nawe.

Biblia inasema mpingeni shetani naye atawakimbia. Hakikisha ufalme wa shetani wakikuletea vita, ukiipiga hiyo vita wakati mwingine wanawaza tukipeleka mashambulizi kwa mtu huyu nini kitatupata, fanya mpaka siku nyingine wasirudie kukufanyia mipango ya kivita, shambulia mpaka iishe kabisa.

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold