Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Kusudi Lako Thamani Yako1 - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

KUSUDI LAKO THAMANI YAKO

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
4,999 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Apr 13, 2025
Product Views:
42
In category:
Sample

---rnrnKitabu: Kusudi Lako, Thamani YakornVitambue Vikwazo Kumi Vinavyoficha Thamani YakornrnKitabu hiki kinakuongoza kutambua na kuvuka vikwazo vinavyoficha kusudi na thamani yako ya kipekee. Kinaamsha uelewa wa ndani kuhusu uwezo uliobeba, namna ya kujitambua, na jinsi ya kuanza kuishi maisha ya kusudi.rnrnKimeandikwa kwa lugha rahisi, lakini kina nguvu ya kukuamsha na kukupa mwelekeo mpya wa maisha.rnrnNi kwa ajili ya mtu yeyote anayehisi kuna nguvu zaidi ndani yake, lakini bado hajaanza kuzitumia

KUSUDI LAKO, THAMANI YAKO

Kitabu cha kuamsha nguvu, thamani, na kusudi la maisha yako.

Katika dunia yenye kelele nyingi, wengi wamepoteza mwelekeo wa maisha na kujiona kama hawana maana. Kitabu hiki kimeandikwa ili kuwakumbusha watu kuwa hawakuumbwa kwa bahati mbaya – kuna kusudi ndani yao, na thamani yao haitegemei vyeo, mali, au maoni ya watu.

Kupitia sura mbalimbali, Kusudi Lako, Thamani Yako kinagusa moyo, kinaibua tafakari, na kinafungua milango ya matumaini kwa yeyote anayetafuta maana ya kweli ya maisha.

rn

“Janga kubwa zaidi maishani siyo kifo, bali kuishi maisha bila kusudi.” – Dr. Myles Munroe

rn

Bei ya Ofa: Tsh 4,999/=
rnKupata nakala yako, wasiliana kupitia WhatsApp: 0657203526

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold