KUSUDI LAKO THAMANI YAKO
Price:
6,999 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Dec 11, 2024
Product Views:
76
Sample
KUSUDI LAKO THAMANI YAKO.rnNi kitabu chenye uwezo wa kukuonesha thamani yako kupitia kusudi lililofanya uzaliwe. Hakuna namna unaweza kuiona thamani ya maisha ikiwa unaishi nje ya kusudi la kuzaliwa kwako.rnrnHaukuzaliwa kwaajili ya kila mtu wala hukuzaliwa ili ufanye kila kitu bali ulizaliwa kwa kazi maalumu ambayo Mungu aliweka ndani yako.rnrnUkiwa unaishi kwenye kusudi lililofanya uzaliwe, moyo wako unakuwa na furaha kwa sababu kusudi la kuishi kwako limeungamanishwa na moyo wako.rnrnMungu ameweka kazi maalumu kwa kila mtu, ni jukumu la kila mtu kugundua na kuendeleza kwa ubora lile kusudi ambalo Mungu kaliweka.
NDANI YA KITABU HIKI UTAJIFUNZA;
- Aina tatu za Utambulisho anazopewa mtu
- Mambo matatu yanayoweza kufanya Kusudi la kuzaliwa kwako likuwe na kustawi
- Kuthamini ulichonacho
- Vikwazo 10 vilivyoficha thamani ya maisha yako
- Kutumia Kanuni ya 40/60 ili kuvuka kwenye nyakati ngumu
- Kuwa na Timu itakayokusaidia kuliishi kusudi lako
- Kinachoweza kutokea ikiwa unaishi nje ya kusudi la kuzaliwa kwako.