
KUNA NURU GIZANI
Price:
2,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Mar 14, 2025
Product Views:
7
Sample
Kila changamoto inamlango wa kutokea, hakuna mwisho ambao utafika na Ukose njia ya kutokea. Kitabu hiki kinafundisha namna unavyoweza kutoka kwenye changamoto unazopitia.
Changamoto na matatizo ambayo wengi wanapitia yamewasukuma mbali sana na Mungu, hii ni kwasababu hawakujua namna wanavyoweza kutoka kwenye changamoto zao kwa kumtegemea Mungu.
Katika kitabu hiki utajifunza mbinu nzuri za kukusaidia kutoka kwenye changamoto zako.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza