Kumlinda Msichana
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Oct 08, 2022
Product Views:
839
Sample
Kumlinda Msichana
Ndugu msomaji, karibu katika kujifunza namna ya binti anavyoweza kujitunza, na kuepuka changamoto za wanaume katika ujana wake. Baadhi ya mabinti, utandawazi umekuwa ni chanzo kikuu cha wao kujihusisha na uhusiano wa kimwili, kubebeshwa mimba, pamoja na kuolewa kabla ya wakati au katika umri mdogo. Baadhi hujihusisha na vitendo vya ngono kwa ushabiki wa marafiki na kutokujua madhara ya vitendo hivyo kwenye maisha ya ndoa. Hali hii imekuwa kinyume na watu wa zamani waliokuwa wanajiepusha na mambo hayo kabla ya ndoa, ambapo ilikuwa ni heshima kubwa kwa binti kuolewa akiwa bado bikra.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza