
KUMBUKA KURUDI NYUMBANI ULIKOZALIWA
Price:
3,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Feb 17, 2024
Product Views:
606
Sample
Kumbuka kurudi nyumbani ulikozaliwa maisha ya mjini yasikusahaurishe nyumbani ukahisi wewe hauna kwenu.
Nyumbani ni mahali wewe ulipo zaliwa na kwa maana ya eneo ambalo wazazi wako waliachiwa urithi na babu zako. Unaweza zaliwa hospitalini pale sio nyumbani au porini huko sio nyumbani, nyumbani eneo utakalotoa hesabu Kwa kizazi kinacho kuja Kwa uzao wako. Panga muda na ratiba yakutembelea nyumbani uliko zaliwa nakuwajulisha watoto wako kwamba hapa mjini tulikuja tu lakini nyumbani kupo na hapa tumekuja kutafuta maisha tu.