KUKESHA MBWEMBWE Mbinu 20 Za Kufaulu Mitihani Form Four
Price:
7,850 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jan 23, 2023
Product Views:
1,640
Sample
Kufaulu Mitihani ni Mbinu. Kitabu hiki kitakusaidia kama unataka kufaulu vyema na kwenda shule bora ya chaguo lako.rnrnUnatamani kwenda Special school au?rnrnVyovyote vile, hizo mbinu zitakusaidia sana. Maana zimenisaidia, lakini pia zimewasaidia wengi sana ambao wameweza kufika hadi vyuo vikuu.rnrnUsisubiri.... Huu ndio muda wa wewe pia kujua mbinu wanazotumia. Sio uchawi... Ni mbinu. Nazo ni hizi humu
Humu utajifunza:-
- KWANINI WENGI WANAFELI
- MBINU YA SQRRR
- MBINU YA MPYA YA "HILI LIMO!"
Pia utapata mwongozo wa maswali na majibu (Q&A)
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza