Best Seller
KUISHI KAMA MCHWA
Price:
4,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jan 16, 2021
Product Views:
3,836
Sample
WATU WENGI WANATAKA NJIA YA MKATO YA MFANIKIO. NJIA YA MAKATO YA MAFANIKIO NI KUFANYA KAZI KWA BIDII. MCHWA NI KIUMBE MDOGO ANAYETUFUNDISHA UMUHIMU WA KUFANYA KAZI KWA BIDII NA KUFANIKIWA. TUNAWEZA KUFANIKIWA KWA KUFUATA KANUNI KADHAA ZA JINSI MCHWA ANAVYOFANYA KAZI.
kutoka zama za mawe mpaka sasa zama za sayansi na teknolojia,rnmwanadamu ameendelea kujiletea maendeleo yake kwa kufanya kazi. Kazi ndiornmsingi wa maendeleo ya mwanadamu. Kufanya kazi ni sehemu ya ubinadamu wetu, huwezirnkumtenganisha mwanadamu na kazi.Tangu alipoumbwa mwanadamu alifanyakazi. Kitabu hiki kinatufundisha kanuni muhimu za kufanya kazi na kufanikiwa kutoka kwa kiumbe mdogo anayeitwa Mchwa. |