Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Kufanyika Kuwa Kiongozi - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

KUFANYIKA KUWA KIONGOZI

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Sep 23, 2020
Product Views:
4,109
In category:
Sample

Lengo la kitabu hiki ni kukusaidia uweze kugundua na kupalilia uwezo wa uongozi ulio ndani yako na ufanyike kiongozi yule ambaye Mungu amemkusudia. Ni matumaini yangu kitabu hiki kitakusaidia sana katika mchakato wa kukutayarisha, kukuandaa na kukukamilisha ili ufanyike kiongozi. rnKatika kitabu hiki utapata nafasi ya kujifunza masomo mbalimbali muhimu kama vile, maana ya uongozi, tofauti kati ya uongozi na usimamizi, msingi wa uongozi, kanuni za kiutendaji katika kiongozi, kanuni za kiutumishi katika Uongozi, na kanuni za kimaadili katika kiongozi. Ni maombi yangu kwamba, kwa kupitia kitabu hiki ule uwezo wa uongozi ulioko ndani yako utapaliliwa na kuchochewa na utapiga hatua moja zaidi katika mchakato wa kufanyika kuwa kiongozi.

KUFANYIKA KIONGOZI  NI KITABU CHA MSINGI KWA KILA AMBAYE NI KIONGOZI. KUPITIA KITABU HIKI UNAWEZA KUJIFUNZA MAMBO YA MSINGI KATIKA UONGOZI NA KUWEZA KUENDELEZA UWEZO WA UONGOZI ULIO JIFICHA NDANI YAKO, NA HATA KUWA KIONGOZI YULE AMBAYE ULIKUSUDIWA KUWA.
More Products On Discount
More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold