KITABU CHA HENOKO
Kitabu Cha Henoko ndiyo maarufu katika Vitabu vyote vilivyotolewa katika Biblia.Pna siri nyingi sana ambazo shetani hataki wanadamu wazijue,ndo sababu za kukitoa katika orodha ya vitabu vya Biblia.
Baadhirnya vitabu vilivyotolewa katika Biblia Takatifu vimekuwa vikileta maswali mengirnkatika jamii yenye kumuamini Mungu.Katika vitabu hivyo kilicho maarufu kulikornvyote ni Kitabu hiki Cha Henoko mtu wa saba kuwepo Duniani baada ya Adamu.
Kitaburnkina mambo mengi sana ya kujifunza na kutufundisha.Baadhi ya mambo muhimu,rnkinaeleza siri nyingi zilizofichwa watu wasizijue ambapo ni za muhimu sanarntuzijue.Kwa mfano wapo Malaika 200 walioshuka kama miaka 500 iliyopita walipornwatamani wanawake wa Kiafrika.Malaika hawa walijibadilisha miili na kuwa kamarnwanadamu,na kuwaoa wanawake wa binadamu na kuzaa watu wenye miili mikubwa sana.Waturnhawa walianza kula wanadamu na walimalizana katika vita na walifutwa katikarnGharika ya Nuhu.
KinaelezarnMalaika hawa waliwafundisha wanadamu nini,?Mungu aliwafanyeje Malaika hawa.NinirnChanzo cha uchawi na kwa nini usiuamini?yote haya yameelezwa katika kitaburnkiki.Nini chanzo ya utoaji mimba na kutengeza silaha za kisasa yote yamornhumu.Na mengine mengi sana usiyoyajua.
Panarnsiri na mambo mengi utakayoyajua ambayo yamefichwa usiyajue.
Piarnnimeeleza sababu kwa kirefu sana kwa nini kwa ujanja na hila za shetani,kitaburnhiki kilitolewa.
Kariburnukisome,ninakuhakikishia utazijua siri nyingi sana zilizofichwa kwa kukisomarnKitabu hiki.Miaka 5000 iliyopita Mungu aliagiza kila mwanadamu akisome Kitaburnhiki.
Kariburnukisome upate ujuzu adimu sana usioujua.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza