KISA CHA SIMBA MTU
Hapo zamani katika kijiji cha Njeengwa kule Mtwara kulikuwa na kijana mmoja aliyekuwa na mazingaombwe ya kutisha. Basi yule kijana alikuwa na uwezo wa kujibadilisha na kuwa Simba. Mara nyingi alifanya hivyo nyakati za usiku. rnKwa muda mrefu amani ilitoweka pale kijijini. Watu wakawa hawawezi kutembeleana mara tu giza liingiapo. Ila siku moja kijana alikiona cha mtema kuni.
Hapo zamani katika kijiji cha Njeengwa kule Mtwara kulikuwa na kijana mmoja aliyekuwa na mazingaombwe ya kutisha. Basi yule kijana alikuwa na uwezo wa kujibadilisha na kuwa Simba. Mara nyingi alifanya hivyo nyakati za usiku.
Kwa muda mrefu amani ilitoweka pale kijijini. Watu wakawa hawawezi kutembeleana mara tu giza liingiapo. Ila siku moja kijana alikiona cha mtema kuni.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza