KISA CHA PUNDA NA PUNDAMILIA
Chifu Mtalimbo wa Ifakara aliwapenda na kuwafuga wanyama mbalimbali na kila mnyama alimpa shughuli ya kufanya. rnrnSiku moja aliwapa mizigo Punda wawili, Punda mtiifu na Punda Mkaidi, wote aliwaagiza wapeleke mizigo kwa rafiki yake Chifu Kingalu wa Morogoro Mjini. rnrnPunda mtiifu alifika na kupewa zawadi, ila yule Punda asiye mtiifu alikiona cha mtema kuni.
Chifu Mtalimbo wa Ifakara aliwapenda na kuwafuga wanyama mbalimbali na kila mnyama alimpa shughuli ya kufanya.
Siku moja aliwapa mizigo Punda wawili, Punda mtiifu na Punda Mkaidi, wote aliwaagiza wapeleke mizigo kwa rafiki yake Chifu Kingalu wa Morogoro Mjini.
Punda mtiifu alifika na kupewa zawadi, ila yule Punda asiye mtiifu alikiona cha mtema kuni.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza