KISA CHA MBUZI NA MJOMBA WAKE
SIKU ZOTE JALI MUDA. FIKA SEHEMU HUSIKA KWA WAKATI.
# Kitabu hiki kinamlenga Mtoto wa Darasa la Kwanza hadi la Pili #
Jina la Kitabu: Kisa Cha Mbuzi na Mjomba Wake.
Kwa nini ni muhimu kusoma kitabu hiki:-
(1) Kinaburudisha
(2) Kinafundisha
(3) Picha zilizomo zinamvutia msomaji
(4) Kunamjengea msomaji udadisi
Mhusika Mkuu katika hiki kisa ni Mbuzi.
Mjomba wake Mbuzi alikuwa na Cheo cha Kugawa Mikia.
Ili kupata mkia mkubwa ilibidi kufika kwa wakati.
Mbuzi alichelewa. Akakuta kimebaki kipande kidogo cha mkia.
Alidhani mjomba wake, angembakizia kipande kikubwa.
Alikuwa amekosea.
Kuna msemo usemao " Mtegemea cha nduguye hufa maskini."
Hatimaye, akapata kipande kidogo, kilichosalia.
# KITABU HIKI NI KWA AJILI YA WATOTO WADOGO KUANZIA DARASA LA KWANZA HADI LA PILI#
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza