KIPIMAJOTO CHA MAARIFA DARASA LA 3-7
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Aug 21, 2024
Product Views:
375
Sample
MADA MBALIMBALI KUHUSU MIJI MIKUU, NAHAU, VYAKULA NA VIRUTUBISHO NA MILIO YA WANYAMA ZIMEANGAZIWA
Kitabu hiki kinalenga kupanua wigo wa mwanafunzi kuanzia Darasa la Tatu hadi la Saba kwa kukuza maarifa yake hususan katika kuelewa baadhi ya miji mikuu mbalimbali iliyopo duniani, matumizi ya maneno mapya yatokanayo na ukuaji wa sayansi na teknolojia, vyakula na virutubisho, nahau pamoja na utambuzi wa milio ya wanyama.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza