KIPATO CHA ZIADA NI LAZIMA
Price:
7,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jul 20, 2024
Product Views:
297
Sample
Kitabu hiki kinafungua milango ya maarifa ya kifedha ambayo yanaweza kubadilisha maisha yako.Kupitia mikakati madhubuti ya kuongeza kipato na usimamizi wa busara wa kifedha hatua kwa hatua.
Kwenye kurasa za kitabu hiki kuna mwongozo kamili kwa wale wanaotamani kuona mafanikio chanya katika maisha yao ya kifedha na kufikia maengo yao ya kifedha bila kusita.
Baada ya kusoma kitabu hiki mwandishi anatarajia uanze kujijengea kipato chako cha ziada mara moja.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza