Kipaji Chako Ajira Yako
Price:
1,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Dec 29, 2024
Product Views:
24
Sample
Soma Zaidi Hapa
Kipaji ni moja kati ya njia mojawapo ya kujipatia kipato kiurahisi kwani unaweza kuanza bila hata ya kuwa na mtaji wowote wa pesa, hivyo ndani ya Kitabu hiki nimekuwekea namna ambavyo unaweza kugeuza kipaji chako kuwa sehemu ya kukuingizia pesa.
.
Pia nimeeleza namna gani Unaweza kugundua kipaji chako, Kwasababu ki asli kila mtu ana kipaji alichozaliwa nacho, na kuna watu wengi sana wana vipaji lakini hawajui kama wanavyo, hivyo kupitia kitabu hiki utaweza kukijua kipaji chako.
.
Hiki Kitabu Kinauzwa Sh.12,000 tu Lakini Nimeamua Kukupa Kwa Sh 1000 Tu
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza