KIBEKA
Kwanini umchukie mtoto uliyemzaa mwenyewe? Ana kosa gani?
Utajiuliza
inakuwaje hata mtu anaamua kumchukia mtoto aliyemzaa mwenyewe? Kila
amwonapo, haishi kumtafutia sababu ya kumcharaza bakora kama si kumpa dhiki ya nafsi kabisa. Anaishi naye nyumba
moja afanyaje tu vile HOFU jamii itakavyomchukulia lakini nje ya hapo,
anatamani hata afe kwa njia ya asili. Mtoto hafi, anaishi hadi da'ika ya
mwisho alipoamua kuuweka wazi ukweli wa mambo na ndipo yanaibuka
mengine.
Kibeka! Kitabu kinachoelezea namna mbalimbali za malezi
na haki ya mtoto kwa wazazi. Kimetazamia sana katika kuikwamua jamii
kutoka katika mikono mikali ya tamaa. Kwani tamaa haijawahi kumpa mtu
anachotaka.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza