KAZI YA MZUNGU
KAZI YA MZUNGU Simulizi ya safari na harakati za kimaisha za kijana Masuke kutoka kijijini Malonje huko Morogoro. Changamoto na jitihada zake zinamkutanisha na tajiri Mzungu, mwanasayansi Steve Curl. Kwa pamoja wanaunda timu inayookoa dunia dhidi ya janga la kibayolojia na kundi hatari la ENTRY ambalo ndio sababu ya janga hilo. Lakini anapodhani yuko Salama na dunia yake, anajikuta anakabili hatari kubwa zaidi. Ni hatari gani? Simulizi hii imegusia maisha katika nyanja za Mapenzi, ujasusi, njama, intelijensia na ugaidi. Ni moja ya kazi pendwa sana kutoka kwa mwandishi wa 'Mateka wa Huba' pamoja na ile ya 'Mheshimiwa the Don', David Ngocho Samson.
KAZI YA MZUNGU
Simulizi ya safari na harakati za kimaisha za kijana Masuke kutoka kijijini Malonje huko Morogoro. Changamoto na jitihada zake zinamkutanisha na tajiri Mzungu, mwanasayansi Steve Curl. Kwa pamoja wanaunda timu inayookoa dunia dhidi ya janga la kibayolojia na kundi hatari la ENTRY ambalo ndio sababu ya janga hilo. Lakini anapodhani yuko Salama na dunia yake, anajikuta anakabili hatari kubwa zaidi. Ni hatari gani?
Simulizi hii imegusia maisha katika nyanja za Mapenzi, ujasusi, njama, intelijensia na ugaidi.
Ni moja ya kazi pendwa sana kutoka kwa mwandishi wa 'Mateka wa Huba' pamoja na ile ya 'Mheshimiwa the Don', David Ngocho Samson.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza