KAULI 82 ZINAZOZUIA MAFANIKIO YA WATU WENGI
Price:
2,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Apr 22, 2021
Product Views:
1,870
Sample
KAULI 82ZINAZOZUIA MAFANIKIO YA WATU WENGI
Zipo kauli nyingi ambazo watu wamezoea kuzizungumza na kuzikili kila siku ya maisha yao. Miongoni mwa kauli hizi kuna kauli ambazo ni hatari ambazo zimemeza mafanikio ya watu wengi pasipo hata wao wenyewe kujua.
Katika kitabu hiki mwandishi anafunua na kufafanua baadhi ya kauli ambazo mtu akiendelea kuzikumbatia zinaweza kunyonya nguvu yote ya mafanikio yake na kumuacha mweupe asiye na mafanikio yoyote.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza