Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Kanuni 21 Za Kibiblia Kuhusu Utoaji1 - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali
Best Seller

KANUNI 21 ZA KIBIBLIA KUHUSU UTOAJI

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
4,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jan 16, 2021
Product Views:
3,017
In category:
Sample

Utoaji ni kanuni ya ki-Mungu. Kanuni za msingi za ki-Biblia za utoaji ni rahisi na zipo wazi. Wakristo wanatakiwa kuwa na furaha kubwa kwa kuweza kuakisi na kushiriki katika sifa na tabia ya Mungu kupitia kitendo cha kutoa. Tunapotoa tunakuwa tunafuata mfano na kielelezo cha Kristo. Kristo ndiye mfano na kielelezo chetu cha kufuata katika kutoa kwetu. Utoaji wetu unapaswa uwe kwa mfano wa Kristo, ambaye alifanyika maskini kwa kuachia utukufu wake ili sisi tuwe matajiri wa baraka zake. Tunatakiwa kufuata asili yake ya neema ya utoaji ili tuweze kuwabariki wengine. Hivyo utajiri wake utumike katika jukumu la kuwabariki watu wengine.

UNAWEZA KUWA MTOAJI NA KUINUA VIWANGO VYAKO VYA UTOAJI KWA KUJIFUNZA KANUNI SAHIHI ZA KIBIBLIA ZA UTAOJI. KATIKA KITABU HIKI  KANUNI 21 ZA UTOAJI ZIMEFUNDISHWA AMBAZO ZITAKUONGOZA KATIKA MAISHA YAKO YA UTOAJI ILI UWEZE KUTOA KATIKA MISINGI SAHIHI YA KIBIBLIA.

More Products On Discount
More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold