KANUNI 1O ZA KUFANIKIWA KIFEDHA
Ni mapenzi ya Mungu tufanikiwe kiroho, kiafya na katika mambo yote ikiwemo kufanikiwa kifedha. Hitaji la kufanikiwa kifedha ni hitaji la muhimu sana kwa kila mmoja. Hata hivyo ili kuweza kufanikiwa kifedha kuna kanuni za kufanikiwa na kubarikiwa ambazo zinapaswa kuzingatiwa. Wakristo wengi wanapenda kufanikiwa kifedha na kuwa na uhuru wa kifedha, lakini tatizo liko kwenye kuzingatia na kufuata kanuni husika. Huwezi kufanikiwa kifedha kwa kukaa tu huku ukiwa na ndoto. Kuwa na ndoto za kufanikiwa kifedha ni jambo jema, lakini kama haufanyi chochote na wala haufuati kanuni za kukuwezesha kufanikiwa katika eneo la fedha, utakuwa unajidanganya mwenyewe. Kitabu hiki kimejikita kukufundisha kanuni za kawaida za mafanikio ya kifedha zilizo na msingi katika utumiaji wa rasilimali na uzalishaji mali.
VITABU VINGI VIMEANDIKWA TAYARI KUHUSU MAFANIKIO YA KIFEDHA. KITABU HIKI KINA MLENGO TOFAUTI INAPOKUJA MAFANIKIO YA KIFEDHA, KIMEZUNGUMZA NJIA KUU YA MAFANIKIO YA KIFEDHA NI KUTUMIA RASIMALI ZINAZOTUZUNGUKA NA KUFANYA UZALISHAJI WA MALI.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza