KAMBA ZA KUOMBEA MSAMAHA
Price:
4,999 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Apr 26, 2023
Product Views:
940
Sample
Muongozo wa kuombea msamaha ambao ni ngumu kupuuzwa
Umejaribu kumsihi akusamehe lakini umeshindwa , umekosa namna nzuri ya kumsihi akuelewe.
Unajua kila mtu ananamna yake ya kupokea taarifa na akaona kwamba hapa ameguswa na hapa hajaguswa.
Sasa katika kitabu hiki nimekufunulia siri za namna ya kuomba msamaha ambao mpokeaji ataona ni vigumu kukupuuza. Lazima akupe umakini wake na kukusikiliza.
Na akikupa tu umakini amejiingiza kwenye mtego hawezi kukwepa kukufikiria kwa upya na kutoa jibu litakaloufurahisha moyo wako.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza