KAMATA AU UA
Price:
7,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jan 27, 2024
Product Views:
537
Sample
Kikundi cha magaidi kinauteka ukumbi wa mikutano wa kimataita wa KICC jijini Arusha na kuwashikilia mateka watu zaidi ya 300. Ili kuwaachia huru mateka wanaowashikilia, magaidi wanatoa sharti la kuachiwa kwa kiongozi wao Mahmoud Fadil Ghed anayeshikiliwa katika gereza la mahakana ya Afrika lilipo jijini Arusha.\\\\r\\\\n\\\\r\\\\nRais wa Tanzania, Jenerali mstaafu Pius Mawingu analikataa sharti la magaidi ambao wananza kuua mateka ili kushinikiza sharti lao litekelezwe. Rais Pius anatoa maelekezo kwa vyombo vya ulinzi na usalama kuhakikisha magaidi wote aidha WANAKAMATWA AU WANAUAWA.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza