Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Jitambue Mtazamo Wako Hatima Yako - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

Jitambue Mtazamo Wako Hatima Yako

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jul 18, 2023
Product Views:
1,072
In category:
Sample

Jitambue Mtazamo Wako Hatima Yako

Ugumu wa maisha, magonjwa, visasi, tabia nga'nga'nizi, migogoro katika mahusiano ya uchumba, ndoa na kazini ni miongoni mwa changamoto zinazowakuta watu wengi katika maisha ya kila siku. Watu wengine wamekata tamaa ya maisha kabisa na kujuta kwanini walizaliwa kwa sababu hawaoni mwanga katika jambo lolote wanalofanya au wanalofikiri kulifanya. Wengine kutokana na kukumbwa na tabia ng'anga'nizi wamejikuta wanapoteza pesa nyingi ili kukidhi haja za mioyo yao ambazo wanatamani kuachana nazo lakini hawawezi.


Kitabu hiki kiitwacho Jitambue Mtazamo wako Hatima Yako, kimeandikwa kwa ajili yako wewe msomaji ili uweze kutambua hasa wewe ni mtu wa namna gani, una uwezo kiasi gani na kwa namna gani una nafasi ya kuamua aina ya maisha unayoyataka. Waswahili tuna msemo kuwa kupanga ni kuchagua.

UNAHISI WANAUME AU WANAWAKE WOTE NI SAWA, KWA SABABU ULIWAHI KUTENDEWA KINYUME NA MATARAJIO YAKO? Kitabu hiki ni dawa kwako!


Baada ya kusoma kitabu hiki unaweza kuchagua kuwa yeyote unayetaka kuwa. Ndani yako kuna uwezo mkubwa usiopimika wa kuweza kukuvusha kwenye hayo yote unayoyaona ni magumu kama na kama tu utachukua hatua ya kujifunza na kutendea kazi maelekezo yaliyoandikwa kwa utulivu uliomakinika. Karibu sana kujifunza na ninakutakia kila la kheri!

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

GetValue Recommendations
Old is Gold