JITAMBUE KISAIKOLOJIA
Kwa asili kila mtu ni mwanasaikolojia. Tumeumbwa kuwa viumbe vyenye ushirikiano wa kijamii, na kwa sababu hiyo tumekuza kitu ambacho wanasaikolojia wanakiita uelewa au nadharia ya akili. Tu-meumbwa na uwezo wa kubashiri hali za akili ya mtu mwingine mfano kuweza kusoma mawazo, hisia, na nia yake.
Katika\r\nkitabu hiki wewe kama mwanasaikolojia ambaye ulikuwa hujui kuwa unayo taaluma hiyo, utaelewa maana\r\nya Saikolojia katika ujumla wake,\r\nikiwa ni pamoja na kuelewa maana, aina mbalimbali\r\nza Saikolojia, mahusiano yaliyopo kati ya Saikolojia na uelewa kuhusu Mungu\r\nyaani Thiolojia, maana kuna mtazamo toka kwa baadhi ya watu kuwa watu waliosoma\r\nSaikolojia wanamkana Mungu, je kuna ukweli\r\nwowote kuhusiana na mtazamo huo? Hayo yote utayapata toka katika kitabu hiki,\r\nlakini pia utaelewa kuwa saikolojia ilianza lini na mpaka sasa imefikia wapi?
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza