Jipe Raha Katika Ndoa
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Mar 08, 2022
Product Views:
2,878
Sample
Jipe Raha Katika Ndoa
Ni kitabu ambacho kinakupa maarifa mengi katika ujuzi wa mahusiano katika ndoa. Katika mahusiano ya ndoa ni jambo muhimu katika familia zetu, kuimarisha na kustawisha upendo wa kila siku. Uwazi na kustawisha utu wa ndani wa wanandoa ni vema wakazingatia haya. Ndoa nyingi zinakosa furaha na amani kwa kukosa maarifa ya elimu ya mahusiano, hasa mnapokuwa katika mahanjumati pale kwenye ukurasa wa mapenzi. Katika kutenda haya yanamuhusu mwanaume na mwanamke, haijalishi wewe ni Askofu, Mchungaji, Shekhe, Imamu au Ustadh, Usitadhat, kwa kuwa wewe ni mwanume au mwanamke inakuhusu.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza