JINSI YA KUWEKEZA UTT AMIS
Unataka kuwekeza UTT AMIS basi kitabu hiki kitakupa mwongozo asilimia 100% kuhusu UTT AMIS na uanze kuwekeza fedha zako baada ya kupata msingi mzuri wa uwekezaji katika mifuko ya pamoja ya UTT AMIS. Pata nakala yako sasa na uanze kupata madini ya nguvu.
JINSI YA UTT AMIS PLC KWA URAHISI...!
Unatamani kuwekeza kwenye kampuni ya UTT AMIS na haujui namna gani inafanya kazi ili uanze kuwekeza?
Basi na habari njema kwako.
Ni kwamba kitabu cha JINSI YA KUWEKEZA UTT AMIS kitakusaidia sana kwa asilimia 100% kujua kila kitu kuhusu UTT AMIS.
ambapo utajua.
1. Namna ambavyo ilianzishwa UTT amis na malengo yake.
2. Mifuko sita ya uwekezaji ya UTT AMIS (Hapa ndio kiini cha wewe kuwekeza kwenye mfuko ambao utachagua kutokana na malengo ambayo unayo).
3. Jinsi ya kununua vipande.
4. Faida za kuwekeza UTT AMIS.
5. Utajua namna ya kuelewa thamani ya vipande kama inapanda au inashuka.
Hata hivyo...
Kitabu kinakufaa wewe ambaye unataka kuwekeza fedha zako, kuweka akiba na kukuza mtaji.
UTT AMIS ni kampuni ya kuaminika ambayo ipo chini ya usimamizi wa wizara ya fedha na mipango.
Angalizo!
UTT AMIS itakuwa siyo sehemu yako kama.unataka kuwekeza milion au laki moja leo basi kesho upate faida laki au million mbili.
Bora pesa yako ukale tu kabla ya kuanza kulalamika umetapeliwa kwenye fursa ambazo zinasema ukiweza million moja leo basi kesho unapata million saba.
Hapa unapaswa kujua uwekezaji wenye tija unahitaji muda ili kupata faida.
Kwahiyo...
unahitaji elimu na kuelewa namna unavyoweza kuwekeza ndani ya UTT AMIS.
Basi kitabu cha cha JINSI YA KUWEKEZA UTT AMIS kinakufaa rafiki na mwekezaji mtarajiwa ambaye unajali kesho na future yako.
Thamani ya ebook hii tsh 9,990ila leo unapata kwa EXCLUSIVELY OFFER kwa tsh 6,999 tu.
Hii ofa inadumu ndani ya masaa 24 kutoka sasa na ni kwa 20 tu baada ya hapa utapaswa kununua kwa tsh 9,999.
Chukua hatua kupata ebook hii au uendelee kuweka visingizio kwanini huwezi kuweka akiba na uwekezaji.
Ps: Lipia sashivi utapata usaidizi wa siku 7 kujua kila kuhusu uwekezaji wa mifuko ya pamoja ya UTT AMIS na uanze kuwekeza kiutaalamu.