Jinsi Ya Kutembea Katika KIBALI Na NEEMA
Kupitia kitabu hiki utashinda hali ya kug'ang'ana katika maisha.
Ni mapenzi ya Mungu, watu wake wapate kibali na neema ili waweze kuinuliwa katika maisha yao, na baada ya kuinuliwa kwa kupata neema na kibali, waendelee kudumu kuinuliwa kwa kuendelea kutembea katika kibali na neema.
Watu wengi upata kibali na neema, na baada ya Muda upoteza kibali na neema walichokuwa wamepata, jambo ambalo usababisha kuanguka baada kuinuliwa.
Mungu anataka unapopata kibali na neema ukainuliwa katika maisha, usishuke chini tena kimaisha.
Kitabu hiki kinakupa kanuni za kiblia za jinsi ya kupata kibali na neema, na jinsi ya kudumu katika kuinuliwa bila kushuka, kwa kuendelea kutembea katika kibali na Neema.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza