JINSI YA KUSOMA RIPOTI ZA FEDHA
KATIKA KITABU HIKI UTAJIFUNZA KUSOMA RIPOTI ZA FEDHA KAMA UNAHTAJI KUWEKEZA KATIKA SOKO LA HISA (DSE) PIA NAMNA AMBAYO UNAWEZA KUTUMIA RIPOTI ZA FEDHA KUONGEZA UFANISI KATIKA MSHAHARA NA BIASHARA
Siku zote hauwezi kujua biashara yako au kampuni yako au hata hali yako ya kifedha ikoje kama haufahamu namna ya kusoma ripoti za fedha.
Katika kitabu hiki nitakuchukua hatua kwa hatua ya namna ya kusoma ripoti 3 za fedha
1 RIPOTI YA HALI YA FEDHA (balance sheet)
2) RIPOTI YA MAPATO NA MATUMIZI (income statement)
3) RIPOTI YA MTIRIRIKO WA MAPATO (Cashflow statement)
Pia utajifunza namna ambavyo unaweza kutumia ripoti za fedha kuongeza ufanisi katika mshahara wako au biashara yako
Pia utapata nafasi ya kuuliza swali lolote linalohusu ripoti za fedha na kama utahitaji maelezo zaidi utapata nafasi ya kupata ufafanuzi zaidi
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza